Translate

Monday, 5 May 2014

Molin ana lia

Brenda aka pata bahati mbaya.  Nyumba yake ya mabati ili haribishwa no moto.  Kuna watu ambaye ana jenga gorofa hapo juu kidogo na wame anzia ku piga kilele.  Wana taka kukata the slum into two kutengenza barabara.  Brenda alikuwa nalia wki ya jana.

Brenda ame anzia kukuja kufanya mamangu kazi kidogodogo. Akpatiwa na mama elfu moja baridi kabisa kuenda slum kutafuta mayai.  Brenda haku rudi. "Basi kama ha ta rudi ni kata machahara yako, Molina!"  Molina aka anzia ku lia.

Brenda ali rudi kuchelewa, lakini.  Mvua ilikua ina nyesha.

Mama Saida aka cheka kweli kutokana wakati mawingo ali anzia kugatha.

Mamangu hajui makosa yake.  Anazeeka polepole na piga kilele au kusirika saana.

Molin ana cheka sasa.

Poa.